Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
POKE ROOT TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na kuchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili kupitia detoxification ya kawaida. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo katika uwiano mzuri huwezesha mifumo ya mwili kufanya kazi kwa ufanisi na kusaidia vitality ya muda mrefu.
INGREDIENTS
Phytolacca americana
Arctium lappa
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa majimaji mwilini.
• Huchangia kuimarisha vitality na balance ya mwili.
• Husaidia afya ya ngozi kwa kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri ni msingi wa afya na ustawi wa mwili. POKE ROOT TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa kawaida wa majimaji na michakato ya asili ya detoxification ili kudumisha mazingira safi ya ndani ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu kwa ajili ya usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support uwiano wa mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ili kusaidia uratibu wa shughuli za mwili. Ushirikiano wa mifumo hii huchangia vitality, balance na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic, wanaotaka ku-support detoxification ya kawaida ya mwili, kudumisha afya ya ngozi na kuongeza vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.