Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
PARASITE TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia kudumisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na mazingira bora ya utumbo. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, mwili wenye mazingira safi na yenye uwiano huchangia ustawi wa seli, mfumo wa lymphatic na vitality ya mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Artemisia annua
Juglans nigra
FAIDA
• Husaidia kudumisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia usafishaji wa asili wa njia ya chakula.
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Husaidia kudumisha mazingira bora ya utumbo kwa ustawi wa mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hujengwa kwa kudumisha mazingira safi ya ndani yanayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. PARASITE TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa taka za kimetaboliki na kuchangia mzunguko mzuri wa damu pamoja na maji ya mwili. Pia husaidia michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kudumisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine katika kudumisha uwiano wa mwili na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi katika mazingira yenye utulivu na usawa, hivyo kuimarisha vitality ya mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya utumbo, kusaidia usafishaji wa asili wa njia ya chakula na kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili kama sehemu ya mtindo wa maisha unaojali afya.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.