Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Nervine Tea ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva na kuchangia utulivu wa mwili na akili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mfumo wa neva wenye uwiano mzuri husaidia kuratibu kazi za mwili kwa ufanisi na kudumisha terrain yenye afya.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora
Verbena hastata
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva.
• Huchangia utulivu wa mwili na akili katika shughuli za kila siku.
• Husaidia kudumisha mawasiliano mazuri ya mfumo wa neva na mifumo mingine ya mwili.
• Huchangia kupunguza uchovu wa akili unaotokana na shughuli nyingi.
• Husaidia kuimarisha balance ya mwili na vitality kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, Nervine Tea hu-support terrain ya mwili kwa kuimarisha utendaji wa mfumo wa neva, ambao huratibu mawasiliano kati ya viungo na mifumo mbalimbali ya mwili. Pia huchangia mtiririko mzuri wa lymphatic na mzunguko wa damu ili kusaidia usafirishaji wa virutubisho na uondoaji wa taka za kimetaboliki kupitia michakato ya asili ya detoxification. Kwa kuunga mkono usawaziko wa mfumo wa endocrine na kupunguza mzigo wa mfumo wa neva, mwili hupata mazingira yanayosaidia utulivu, vitality na utendaji bora wa kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotafuta kuimarisha afya ya mfumo wa neva, kuboresha utulivu wa akili na mwili, au wanaotaka ku-support balance ya mifumo ya mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.