Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
NAIL SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya na ustawi wa kucha kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani ya mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya kucha huakisi hali ya terrain ya mwili, mtiririko wa virutubisho na uwezo wa mwili kudumisha usafi wa mazingira ya seli.
INGREDIENTS
Equisetum arvense
Urtica dioica
FAIDA
• Husaidia afya na ustawi wa kucha kwa ujumla.
• Huchangia ukuaji wa kucha zenye muonekano mzuri.
• Husaidia kuimarisha mazingira bora ya lishe kwa tishu za mwili.
• Huchangia mtiririko mzuri wa virutubisho kwenye seli mbalimbali.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya kucha huathiriwa na ubora wa terrain ya mwili pamoja na uwezo wa mifumo ya ndani kufanya kazi kwa uwiano. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya vimiminika vya mwili, jambo linalowezesha usambazaji bora wa virutubisho kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo tishu zinazohusiana na afya ya kucha. Kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani ya mwili, formula hii hu-support endocrine system na nervous system, na hivyo kuchangia vitality, balance na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya kucha, wanaotaka kudumisha muonekano mzuri wa kucha, au wanaotafuta ku-support ustawi wa mwili na mazingira bora ya lishe ya tishu kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.