Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Beauty Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya ngozi, nywele na mwonekano wa asili wa mwili kwa kuzingatia falsafa ya terrain ya Dr. Mittoh. Formula hii huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili, mzunguko mzuri wa virutubisho na kusaidia mifumo inayohusiana na urembo wa asili.
INGREDIENTS
Centella asiatica
Schisandra chinensis
FAIDA
• Husaidia afya na mwonekano wa ngozi kwa ujumla.
• Huchangia uimara na vitality ya nywele.
• Husaidia mwili kudumisha usawa wa ndani unaohusiana na urembo wa asili.
• Huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali za mwili.
• Husaidia kuimarisha hali ya uchangamfu na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, urembo wa kweli huanzia kwenye mazingira bora ya ndani ya mwili. Beauty Support Formula husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri ubora wa ngozi. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usafirishaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Formula hii hu-support michakato ya asili ya detoxification na kusaidia mwili kudumisha balance ya mifumo muhimu inayohusiana na afya ya ngozi, nywele na ustawi wa jumla. Kwa kusaidia terrain ya mwili, huchangia mwonekano wenye afya na vitality ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya ngozi, nywele na mwonekano wa asili wa mwili, pamoja na wanaotafuta kusaidia ustawi wa ndani unaochangia urembo wa asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.