Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
FEMALE REPRODUCTIVE SYSTEM SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioandaliwa kusaidia afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke na usawazishaji wa mfumo wa endocrine. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, afya bora ya mfumo wa uzazi hutegemea mazingira safi ya ndani ya mwili, mzunguko mzuri wa damu, na uwiano wa mifumo inayoratibu utendaji wa mwili.
INGREDIENTS
Angelica sinensis
Caulophyllum thalictroides
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke
• Huchangia usawazishaji wa mfumo wa endocrine
• Husaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye tishu za mwili
• Huchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
• Husaidia kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke huathiriwa na ubora wa terrain ya mwili na uwezo wake wa kuondoa taka zisizohitajika. Mfumo huu hu-support lymphatic system kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu mbalimbali. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu unaosaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwa seli za mwili. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, mwili huweza kudumisha mazingira yanayofaa kwa utendaji wa kawaida wa mfumo wa uzazi. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ambao hushirikiana katika kuratibu mawasiliano muhimu ya mwili na kusaidia vitality kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, wanaotaka kusaidia usawazishaji wa mfumo wa endocrine, na wanaotafuta njia ya asili ya ku-support vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
Wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.