Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
HAIR SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya nywele kwa kuimarisha mazingira ya ndani ya mwili yanayohusiana na ukuaji, nguvu na ustawi wa nywele. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya nywele huakisi balance ya terrain ya mwili, mtiririko wa virutubisho na ustawi wa mifumo ya ndani.
INGREDIENTS
Eclipta alba
Bacopa monnieri
FAIDA
• Husaidia afya na ustawi wa nywele kwa ujumla.
• Huchangia ukuaji wa nywele zenye nguvu na muonekano mzuri.
• Husaidia kuimarisha mizizi ya nywele.
• Huchangia balance ya mazingira ya ndani ya mwili.
• Husaidia vitality ya mwili inayochangia afya ya nywele.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya nywele inategemea sana terrain safi, mtiririko mzuri wa virutubisho na usawa wa mifumo ya ndani ya mwili. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya damu ili kuhakikisha virutubisho muhimu vinafika kwenye follicles za nywele. Kwa kuimarisha endocrine system, huchangia balance ya homoni za mwili, huku nervous system ikisaidiwa kudumisha utulivu na coordination ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya nywele, wanaotaka kusaidia ukuaji wa nywele zenye nguvu, au wanaotafuta kudumisha balance ya mwili na ustawi wa nywele kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.