Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
MULLEIN TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa upumuaji na kusaidia usafishaji wa asili wa mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, huchangia kudumisha terrain yenye uwiano kwa ku-support mfumo wa lymphatic, mzunguko wa maji mwilini na michakato ya asili ya detoxification.
INGREDIENTS
Verbascum thapsus
Marrubium vulgare
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa upumuaji.
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Husaidia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Huchangia mzunguko mzuri wa maji na virutubisho mwilini.
• Husaidia kuimarisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya huimarika pale terrain ya mwili inapokuwa safi na yenye uwiano. MULLEIN TEA husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kuchangia uondoaji wa taka za kimetaboliki kupitia detoxification ya asili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na maji mwilini, jambo linalosaidia usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali ikiwemo mfumo wa upumuaji. Aidha, hu-support afya ya mfumo wa endocrine kwa kudumisha mazingira bora ya utendaji wa tezi pamoja na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi kwa utulivu na uwiano, hivyo kuimarisha vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotaka kuimarisha afya ya mfumo wa upumuaji, kusaidia mfumo wa lymphatic, kuboresha detoxification ya asili na kudumisha ustawi wa mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.