Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
MUCUS RELIEF TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia afya ya mfumo wa upumuaji na kuchangia usafi wa kawaida wa njia za hewa kwa njia ya asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na mfumo wa lymphatic wenye uwiano mzuri husaidia kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili na ustawi wa mfumo wa upumuaji.
INGREDIENTS
Grindelia squarrosa
Marrubium vulgare
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa upumuaji.
• Huchangia usafi wa kawaida wa njia za hewa.
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia kuongeza vitality ya mfumo wa upumuaji.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa upumuaji huanza kwa terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri. MUCUS RELIEF TEA hu-support afya ya mfumo wa lymphatic kwa kuchangia mtiririko wa kawaida wa majimaji na michakato ya detoxification ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu ili kusaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali, ikiwemo za mfumo wa upumuaji. Aidha, hu-support balance ya mfumo wa endocrine pamoja na afya ya mfumo wa neva ili kuratibu shughuli za kawaida za mwili. Ushirikiano wa mifumo hii huchangia kudumisha ustawi wa njia za hewa, vitality na mazingira bora ya ndani ya mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa upumuaji, wanaotaka kudumisha usafi wa kawaida wa njia za hewa na kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.