Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
MINERAL TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuchangia upatikanaji wa virutubisho vya asili na kuimarisha vitality ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo katika uwiano mzuri huwezesha mwili kutumia madini na virutubisho kwa ufanisi ili kusaidia utendaji wa mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Urtica dioica
Medicago sativa
FAIDA
• Husaidia kuongeza upatikanaji wa virutubisho vya asili.
• Huchangia afya ya mfumo wa endocrine.
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva.
• Huchangia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia kuongeza vitality na balance ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri huuwezesha mwili kutumia madini na virutubisho kwa ufanisi zaidi. MINERAL TEA hu-support afya ya mfumo wa lymphatic kwa kuchangia michakato ya kawaida ya detoxification na kudumisha mazingira safi ya ndani ya mwili. Pia huimarisha mzunguko wa damu ili kurahisisha usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, huchangia balance ya mfumo wa endocrine na hu-support mfumo wa neva katika kuratibu shughuli za mwili. Ushirikiano wa mifumo hii husaidia kuongeza vitality, kudumisha nguvu za mwili na ustawi wa jumla kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuongeza ulaji wa virutubisho vya asili, wanaotaka ku-support afya ya mfumo wa endocrine, mfumo wa neva na kuongeza vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.