Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
MILK THISTLE TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya ini na kuchangia detoxification ya kawaida ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri huwezesha mwili kudumisha matumizi bora ya virutubisho, vitality na utendaji wa mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Silybum marianum
Schisandra chinensis
FAIDA
• Husaidia afya ya ini.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia kuongeza vitality na balance ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri ndiyo msingi wa ustawi wa mwili na utendaji bora wa mifumo yake. MILK THISTLE TEA hu-support afya ya ini kwa kuchangia michakato ya kawaida ya detoxification na kusaidia mazingira safi ya ndani ya mwili. Pia huimarisha afya ya mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa kawaida wa majimaji, huku ikichangia mzunguko mzuri wa damu kwa usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support balance ya mfumo wa endocrine na mfumo wa neva, jambo linalosaidia mwili kudumisha vitality, uwiano wa ndani na ustawi wa jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya ini, wanaotaka ku-support detoxification ya kawaida ya mwili, afya ya mfumo wa lymphatic na kuongeza vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.