Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
MARSHMALLOW TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya utando wa mwili na kusaidia mfumo wa utoaji wa taka kupitia njia za asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, huchangia kudumisha terrain yenye uwiano kwa ku-support mfumo wa lymphatic na mazingira yanayowezesha mwili kufanya kazi kwa ufanisi.
INGREDIENTS
Althaea officinalis
Verbascum thapsus
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Husaidia kudumisha afya ya utando wa njia za upumuaji na mmeng'enyo.
• Huchangia mzunguko mzuri wa maji na virutubisho mwilini.
• Husaidia kuimarisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hujengwa kwa kuhakikisha terrain ya mwili inakuwa safi na yenye uwiano. MARSHMALLOW TEA husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kuchangia uondoaji wa taka za kimetaboliki kupitia michakato ya asili ya detoxification. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na maji mwilini, jambo linalosaidia usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support afya ya mfumo wa endocrine kwa kudumisha mazingira mazuri ya utendaji wa tezi pamoja na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi kwa utulivu na uwiano, hivyo kuimarisha vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotaka kusaidia afya ya mfumo wa lymphatic, kudumisha afya ya utando wa mwili, kuimarisha detoxification ya asili na kuboresha ustawi wa mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.