Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LYMPHATIC TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na kuchangia usafirishaji wa maji pamoja na taka za kimetaboliki mwilini. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, mfumo wa lymphatic wenye ufanisi ni msingi wa kudumisha mazingira safi ya ndani na vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Ceanothus americanus
Galium aparine
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia mtiririko mzuri wa maji ya mwili.
• Husaidia michakato ya asili ya detoxification.
• Huchangia kuimarisha mzunguko wa virutubisho na taka za kimetaboliki.
• Husaidia kudumisha vitality ya mwili kupitia mazingira bora ya ndani.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kudumisha mazingira safi ya ndani yanayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. LYMPHATIC TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa maji ya mwili na usafirishaji wa taka za kimetaboliki. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu unaosaidia usambazaji wa virutubisho katika tishu mbalimbali. Michakato ya asili ya detoxification huungwa mkono ili kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi katika mazingira yenye uwiano, hivyo kuchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic, kusaidia usafirishaji wa maji ya mwili, na kudumisha michakato ya asili ya detoxification kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.