Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LYMPHATIC AND DETOX SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa lymphatic na michakato ya asili ya detoxification ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mfumo wa lymphatic wenye afya huchangia mazingira safi ya ndani ya mwili na kusaidia usafirishaji mzuri wa taka za kimetaboliki.
INGREDIENTS
Galium aparine Tincture
Ceanothus americanus Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Husaidia mzunguko mzuri wa majimaji mwilini
• Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa terrain safi inayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. LYMPHATIC AND DETOX SUPPORT TINCTURE hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki na kudumisha mtiririko mzuri wa majimaji mwilini. Pia huchangia mzunguko bora wa damu na virutubisho katika tishu mbalimbali, huku iki-support michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kusafisha mazingira ya ndani ya mwili. Mfumo wa neva na endocrine hunufaika kutokana na terrain iliyo katika uwiano mzuri, jambo linalochangia vitality, resilience na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa lymphatic, wanaotaka kusaidia michakato ya asili ya detoxification, au wanaotafuta kuimarisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.