Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
HEAL ALL SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia mwili kudumisha mazingira bora ya ndani (terrain) yanayohitajika kwa afya na ustawi wa muda mrefu. Formula hii husaidia ku-support mifumo ya asili ya mwili inayohusika na usafirishaji wa virutubisho, uondoaji wa taka na vitality ya kila siku.
INGREDIENTS
Rumex crispus
Ceanothus americanus
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic na mzunguko wa majimaji ya mwili
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Husaidia kudumisha vitality na nguvu za mwili
• Huchangia usafirishaji mzuri wa virutubisho katika tishu mbalimbali
• Husaidia kuimarisha uwiano wa mazingira ya ndani ya mwili (terrain balance)
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili hufanya kazi vizuri zaidi pale ambapo terrain yake ipo katika hali ya usafi na uwiano mzuri. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic katika ukusanyaji na usafirishaji wa taka za kimetaboliki huku ikichangia mzunguko mzuri wa majimaji mwilini. Aidha, hu-support michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kudumisha mazingira bora ya seli. Kwa kusaidia mzunguko wa virutubisho na uondoaji wa taka, formula hii huchangia vitality ya mwili kwa ujumla. Pia hu-support mawasiliano mazuri kati ya mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ili kusaidia mwili kudumisha uwiano wa kawaida wa utendaji wake.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mfumo wa lymphatic, wanaotaka kuimarisha vitality ya mwili, au wanaotafuta njia ya asili ya ku-support terrain yenye afya wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.