Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LYMPHATIC AND DETOX SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa lymphatic na michakato ya asili ya detoxification ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mazingira safi ya ndani ya mwili ni msingi muhimu wa vitality, usafirishaji wa virutubisho na utendaji bora wa mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Galium aparine
Ceanothus americanus
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Husaidia kudumisha mtiririko mzuri wa majimaji mwilini
• Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa terrain safi inayowezesha seli na tishu kufanya kazi kwa ufanisi. LYMPHATIC AND DETOX SUPPORT FORMULA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa majimaji na usafirishaji wa taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu mbalimbali za mwili. Pia huchangia mzunguko bora wa damu na usambazaji wa virutubisho vinavyohitajika na seli. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, formula hii huimarisha mazingira ya ndani ya mwili ambayo hu-support mfumo wa endocrine na neva kufanya kazi kwa uwiano mzuri. Matokeo yake ni kuchangia vitality, resilience na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa lymphatic, wanaotaka kusaidia michakato ya asili ya detoxification, au wanaotafuta kudumisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.