Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
BLOOD CLEANSE SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba unaosaidia mwili kudumisha usafi wa mazingira ya ndani na kusaidia mzunguko mzuri wa damu kwa njia ya asili. Kulingana na Dr. Mittoh Terrain Philosophy, formula hii husaidia kuimarisha terrain ya mwili kwa kusaidia mifumo ya lymphatic, circulation na detoxification kufanya kazi kwa uwiano mzuri. Huchangia ustawi wa seli na vitality ya mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Arctium lappa
Mahonia aquifolium
FAIDA
• Husaidia kudumisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili kwa njia ya asili
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic katika kusaidia detoxification
• Husaidia kuimarisha circulation kwa ajili ya usambazaji bora wa virutubisho
• Huchangia afya ya ngozi kwa kusaidia usafi wa ndani wa mwili
• Husaidia kuimarisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, damu yenye mazingira safi na terrain iliyo katika usawa huchangia afya bora ya mwili mzima. Formula hii husaidia kusaidia lymphatic system katika kuondoa mabaki yasiyotakiwa na kuimarisha mchakato wa asili wa detoxification. Pia huchangia circulation ili kusaidia usafirishaji wa oksijeni na virutubisho kwenye seli mbalimbali za mwili. Hu-support endocrine system kwa kusaidia homeostasis ya mwili na nervous system kwa kusaidia mawasiliano mazuri ya mwili na mazingira yake ya ndani. Matokeo yake ni terrain yenye usawa inayosaidia vitality, nguvu na ustawi wa mwili kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hitaji la kusaidia usafi wa ndani wa mwili, wanaotaka kuimarisha circulation, au wanaotafuta kusaidia afya ya damu, ngozi na vitality ya mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.