Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
HEAVY METAL DETOX TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ya kipekee unaosaidia mwili katika mchakato wa asili wa kuondoa sumu na mabaki ya metali nzito yanayoweza kuathiri ustawi wa jumla. Mfumo huu umeundwa kwa kuzingatia Dr. Mittoh Terrain Philosophy unaolenga kusaidia mazingira ya ndani ya mwili (terrain) kuwa safi, yenye usawa na yenye uhai. Huchangia ulinzi na urejeshaji wa afya ya mifumo muhimu ya mwili.
INGREDIENTS
Chlorella vulgaris Tincture
Coriandrum sativum Tincture
FAIDA
• Husaidia kusaidia mchakato wa asili wa detoxification ndani ya mwili
• Huchangia usaidizi wa mfumo wa lymphatic katika kusafisha uchafu wa mwili
• Husaidia kuboresha usawa wa circulation ya mwili
• Huchangia afya ya mfumo wa neva kwa kupunguza mzigo wa sumu za mazingira
• Husaidia kuimarisha uwezo wa mwili kujisafisha kwa njia ya asili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili una terrain ya ndani inayohitaji usawa ili mifumo yote ifanye kazi kwa ufanisi. Formula hii husaidia kusaidia lymphatic system katika kusafirisha na kuondoa mabaki yasiyotakiwa, huku pia ikichangia usawa wa circulation ili kusaidia usambazaji wa virutubisho na uchujaji wa sumu. Pia hu-support endocrine system kwa kusaidia homeostasis ya homoni na nervous system kwa kupunguza mzigo wa mazingira ya sumu. Hii husaidia mwili kurudi kwenye hali ya asili ya uhai na balance.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye kukumbwa na uchovu wa mwili, au wanaotaka kusaidia mwili wao katika mchakato wa asili wa detoxification na kuimarisha afya ya jumla ya mfumo wa ndani wa mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaonyonyesha watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.