Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LUNG TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa upumuaji na kuchangia ustawi wa njia za hewa kwa njia ya asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi pamoja na mfumo wa lymphatic unaofanya kazi kwa ufanisi huchangia mazingira bora ya kusaidia afya ya mapafu na vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Lobelia inflata
Inula helenium
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa upumuaji.
• Huchangia usafi wa kawaida wa njia za hewa.
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia mzunguko mzuri wa damu kwenye tishu za mwili.
• Husaidia kuongeza vitality na ustawi wa mfumo wa upumuaji.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa upumuaji huimarika pale terrain inapokuwa safi na yenye uwiano mzuri. LUNG TEA hu-support afya ya mfumo wa lymphatic kwa kuchangia michakato ya kawaida ya detoxification na mtiririko mzuri wa majimaji mwilini. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu ili kurahisisha usambazaji wa oksijeni na virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support balance ya mfumo wa endocrine na afya ya mfumo wa neva, ambayo husaidia uratibu wa shughuli za kawaida za mwili. Ushirikiano wa mifumo hii huchangia kudumisha afya ya mfumo wa upumuaji, vitality na ustawi wa mwili kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa upumuaji, wanaotaka kudumisha ustawi wa njia za hewa na kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.