Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LOBELIA TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa upumuaji na mfumo wa neva kwa kusaidia uwiano wa kawaida wa mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye usawa huchangia utendaji bora wa mifumo ya mwili na kuongeza vitality ya asili.
INGREDIENTS
Lobelia inflata
Marrubium vulgare
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa upumuaji.
• Huchangia kuimarisha afya ya mfumo wa neva.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia kuimarisha vitality na balance ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya huanza kwa kujenga terrain iliyo katika uwiano mzuri ili mifumo yote ya mwili ifanye kazi kwa ufanisi. LOBELIA TEA huchangia ku-support afya ya mfumo wa upumuaji na mfumo wa neva huku ikisaidia mtiririko mzuri wa damu kwa ajili ya usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali. Pia hu-support mfumo wa lymphatic katika michakato ya kawaida ya detoxification ili kusaidia mazingira bora ya ndani ya mwili. Aidha, huchangia balance ya mfumo wa endocrine na mawasiliano mazuri ya mfumo wa neva, jambo linalosaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa upumuaji na mfumo wa neva, wanaotaka ku-support detoxification ya kawaida ya mwili na kudumisha vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.