Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LIVER TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia kuimarisha afya ya ini na kuchangia michakato ya asili ya usafishaji wa mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, ini lina mchango muhimu katika kudumisha mazingira safi ya ndani, usawazishaji wa kimetaboliki na vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Picrorhiza kurroa
Andrographis paniculata
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya ini.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa virutubisho na taka za kimetaboliki.
• Huchangia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Husaidia vitality ya mwili kupitia mazingira bora ya ndani.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, ini ni moja ya viungo muhimu vinavyosaidia kudumisha mazingira safi ya ndani yanayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. LIVER TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki na kuchangia mzunguko mzuri wa damu unaowezesha usambazaji wa virutubisho mwilini. Pia husaidia michakato ya asili ya detoxification inayochangia usafi wa mazingira ya ndani. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine katika kudumisha uwiano wa mwili na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi kwa utulivu, hivyo kuchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya ini, kusaidia michakato ya asili ya detoxification na kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.