Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
KIDNEY TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia kuimarisha afya ya figo na kuchangia michakato ya asili ya uchujaji wa maji pamoja na uondoaji wa taka za kimetaboliki mwilini. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, figo zenye afya huchangia kudumisha mazingira safi ya ndani ya mwili, uwiano wa maji na vitality ya seli.
INGREDIENTS
Lespedeza capitata
Solidago virgaurea
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya figo.
• Huchangia michakato ya asili ya uchujaji wa maji mwilini.
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification.
• Husaidia kudumisha uwiano wa maji na vitality ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, figo zina nafasi muhimu katika kudumisha mazingira safi ya ndani yanayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. KIDNEY TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki na kuchangia mzunguko mzuri wa damu pamoja na maji ya mwili. Pia husaidia michakato ya asili ya detoxification inayochangia usafi wa mazingira ya ndani. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine katika kudumisha uwiano wa mwili na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi katika mazingira tulivu, hivyo kuchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya figo, kudumisha uwiano wa maji mwilini na kusaidia michakato ya asili ya detoxification kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.