Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
HEAL ALL TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia mwili katika kudumisha mazingira bora ya ndani (terrain) yanayohitajika kwa afya na vitality ya kila siku. Formula hii husaidia kuimarisha michakato ya asili ya mwili inayohusiana na usafishaji wa taka, mzunguko wa maji ya mwili na uwiano wa mifumo mbalimbali muhimu.
INGREDIENTS
Arctium lappa Tincture
Trifolium pratense Tincture
FAIDA
• Husaidia kuimarisha michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic na mzunguko wake
• Husaidia kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
• Huchangia usawa wa mazingira ya ndani ya mwili (terrain balance)
• Husaidia kuimarisha uwezo wa mwili wa kuondoa taka za kimetaboliki
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kuhakikisha mazingira ya ndani ya mwili yanakuwa safi na yenye uwiano mzuri. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic katika ukusanyaji na uondoaji wa taka za mwili huku ikichangia mzunguko mzuri wa majimaji ya mwili. Pia hu-support michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kudumisha terrain yenye afya. Kwa kuimarisha mzunguko wa virutubisho na usafirishaji wa taka, formula hii huchangia utendaji bora wa mifumo mbalimbali ya mwili. Aidha, hu-support uwiano wa mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ambao ni muhimu katika kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia usafishaji wa mwili kwa njia ya asili, wanaotaka kuimarisha vitality, au wanaopendelea programu za wellness zinazolenga kuboresha terrain ya mwili kwa ujumla wanaweza kutumia formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.