Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Heal All Tea ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha mazingira ya asili ya mwili yanayounga mkono urejeshwaji wa vitality na usawaziko wa mifumo mbalimbali ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hujengwa kwa kuimarisha terrain ya mwili kupitia mzunguko mzuri, detoxification na utendaji wenye uwiano wa mifumo ya ndani.
INGREDIENTS
Prunella vulgaris
Centella asiatica
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia uondoaji wa taka za kimetaboliki kwa njia za asili.
• Husaidia kuimarisha mzunguko mzuri wa virutubisho mwilini.
• Huchangia usawaziko wa mfumo wa endocrine na vitality ya mwili.
• Husaidia kuimarisha uwezo wa mwili wa kujirejesha kwa njia ya asili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, Heal All Tea hu-support terrain ya mwili kwa kuimarisha usafirishaji wa virutubisho na mtiririko wa mfumo wa lymphatic, ambao ni muhimu katika kuondoa taka za kimetaboliki. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu ili seli zipate mazingira bora ya kufanya kazi. Kwa kuunga mkono michakato ya asili ya detoxification na usawaziko wa mfumo wa endocrine, mwili hupata mazingira yanayosaidia vitality na urejeshwaji wa nguvu. Aidha, hu-support mfumo wa neva ili kudumisha mawasiliano mazuri kati ya mifumo mbalimbali ya mwili na kuimarisha afya kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotafuta kuimarisha afya kwa ujumla, kusaidia mfumo wa lymphatic, ku-support detoxification ya asili na kudumisha vitality pamoja na usawaziko wa mifumo ya mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.