Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
GREEN HERBAL TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, mfumo wa lymphatic na vitality ya mwili kwa njia ya asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri huwezesha mwili kudumisha detoxification ya kawaida, matumizi bora ya virutubisho na ustawi wa mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Camellia sinensis
Moringa oleifera
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia kuongeza vitality na balance ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri ndiyo msingi wa afya bora na utendaji wa mifumo yote ya mwili. GREEN HERBAL TEA hu-support afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwa kusaidia matumizi bora ya virutubisho na michakato ya kawaida ya detoxification. Pia huchangia afya ya mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa kawaida wa majimaji na usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, huimarisha mzunguko wa damu kwa ajili ya usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali, huku iki-support balance ya mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ili kudumisha vitality, uwiano wa mwili na ustawi wa jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
Wanaofaa Kutumia
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na mfumo wa lymphatic, wanaotaka ku-support detoxification ya kawaida ya mwili, kuongeza vitality na kudumisha ustawi wa jumla kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.