Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
GINGER TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kuchangia mzunguko mzuri wa damu kwa ajili ya vitality ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo katika uwiano mzuri huwezesha mwili kutumia virutubisho kwa ufanisi na kudumisha ustawi wa mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Zingiber officinale
Alpinia galanga
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
• Huchangia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia kuimarisha detoxification ya kawaida ya mwili.
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Husaidia kuongeza vitality na balance ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri huwezesha mifumo ya mwili kufanya kazi kwa ufanisi na kudumisha afya ya muda mrefu. GINGER TEA hu-support afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwa kuchangia matumizi bora ya virutubisho na huimarisha mzunguko wa damu kwa ajili ya usambazaji wa oksijeni na virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Pia huchangia afya ya mfumo wa lymphatic kupitia michakato ya kawaida ya detoxification inayosaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, hu-support uwiano wa mfumo wa endocrine na mfumo wa neva, jambo linalochangia vitality, balance na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
Wanaofaa Kutumia
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, wanaotaka ku-support mzunguko mzuri wa damu, detoxification ya kawaida ya mwili na kuongeza vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa au wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.