Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
GASTROINTESTINAL (GI) TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kudumisha mazingira bora ya njia ya chakula. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, utumbo wenye mazingira yenye uwiano huchangia ufyonzwaji mzuri wa virutubisho na ustawi wa mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Filipendula ulmaria
Agrimonia eupatoria
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia kudumisha mazingira bora ya utumbo.
• Husaidia ufyonzwaji mzuri wa virutubisho mwilini.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification kupitia afya ya njia ya chakula.
• Husaidia kuimarisha vitality ya mwili kwa kusaidia afya ya mfumo wa GI.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni msingi wa mazingira bora ya ndani ya mwili. GASTROINTESTINAL (GI) TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki na kuchangia mzunguko mzuri wa damu pamoja na maji ya mwili. Pia husaidia michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kudumisha usafi wa mazingira ya ndani. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine katika kudumisha uwiano wa mwili na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi kwa utulivu, hali inayochangia ustawi wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na vitality ya mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, kudumisha mazingira bora ya utumbo na kusaidia ufyonzwaji wa virutubisho kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.