Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
FASTING TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia mwili wakati wa kipindi cha kufunga kwa kuunga mkono usafishaji wa asili na kudumisha uwiano wa mazingira ya ndani ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, kipindi cha fasting ni fursa ya kuimarisha uwezo wa mwili wa kujisafisha na kusaidia vitality ya seli kupitia lishe ya asili.
INGREDIENTS
Ceanothus americanus
Scrophularia nodosa
FAIDA
• Husaidia ku-support michakato ya asili ya detoxification wakati wa fasting.
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa maji na virutubisho mwilini.
• Huchangia kuimarisha vitality ya mwili wakati wa kipindi cha kufunga.
• Husaidia kuimarisha ustawi wa mwili kwa kusaidia mazingira bora ya ndani.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, fasting huupa mwili nafasi ya kuelekeza nguvu katika kurejesha uwiano wa mazingira ya ndani. FASTING TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa taka za kimetaboliki na kuchangia mzunguko mzuri wa damu na maji ya mwili. Pia husaidia michakato ya asili ya detoxification inayowezesha mwili kudumisha mazingira safi ya seli. Aidha, huchangia ku-support mfumo wa endocrine katika kudumisha uwiano wa mwili na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi katika mazingira tulivu na yenye usawa wakati wa kipindi cha fasting.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye utaratibu wa fasting, wanaotaka kusaidia usafishaji wa asili wa mwili, kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na kudumisha vitality ya mwili wakati wa kipindi cha kufunga.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.