Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
ENERGY TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha vitality ya mwili na kuchangia uzalishaji wa nguvu za asili kwa kusaidia uwiano wa mifumo mbalimbali ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye balance nzuri huuwezesha mwili kutumia virutubisho kwa ufanisi na kudumisha nguvu za kila siku.
INGREDIENTS
Eleutherococcus senticosus
Rhodiola rosea
FAIDA
• Husaidia kuongeza vitality na nguvu za mwili.
• Huchangia kuimarisha afya ya mfumo wa neva.
• Husaidia kudumisha balance ya mfumo wa endocrine.
• Huchangia mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia mwili kuhimili shughuli za kila siku kwa ufanisi.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili hupata nguvu endelevu pale terrain inapokuwa safi na yenye uwiano mzuri. ENERGY TEA hu-support afya ya mfumo wa neva ili kusaidia mawasiliano bora kati ya ubongo na viungo mbalimbali vya mwili. Pia huchangia balance ya mfumo wa endocrine, ambao una jukumu muhimu katika kudumisha vitality na shughuli za kawaida za mwili. Huimarisha mzunguko wa damu kwa ajili ya usambazaji wa oksijeni na virutubisho kwenye tishu, huku iki-support afya ya mfumo wa lymphatic kupitia michakato ya kawaida ya detoxification. Ushirikiano wa mifumo hii husaidia mwili kudumisha nguvu, resilience na ustawi wa jumla kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuongeza vitality, wanaotaka ku-support afya ya mfumo wa neva, mfumo wa endocrine na kudumisha nguvu za mwili wakati wa shughuli za kila siku kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.