Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
DETOX TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia michakato ya asili ya usafishaji wa mwili na kuimarisha mazingira bora ya ndani ya seli. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, mwili wenye uwezo mzuri wa kuondoa taka za kimetaboliki huchangia vitality, uwiano wa mifumo ya mwili na ustawi wa jumla.
INGREDIENTS
Cissampelos pareira
Desmodium adscendens
FAIDA
• Husaidia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Huchangia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa damu na maji ya mwili.
• Huchangia kuimarisha mazingira bora ya ndani ya seli.
• Husaidia vitality ya mwili kupitia usafishaji wa asili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hutegemea uwezo wa mwili kudumisha mazingira safi ya ndani yanayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. DETOX TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki na kuchangia mzunguko mzuri wa damu pamoja na maji ya mwili. Pia husaidia michakato ya asili ya detoxification inayochangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine katika kudumisha uwiano wa mwili na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi katika mazingira tulivu, hivyo kuchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia michakato ya asili ya detoxification, kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.