Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
DANDELION TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya ini, mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na mfumo wa lymphatic kwa kuchangia detoxification ya kawaida ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri huwezesha mwili kutumia virutubisho kwa ufanisi na kudumisha vitality ya asili.
INGREDIENTS
Taraxacum officinale
Cichorium intybus
FAIDA
• Husaidia afya ya ini na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia kuongeza vitality na balance ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri ni msingi wa afya bora na ustawi wa mwili. DANDELION TEA hu-support afya ya ini na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwa kuchangia matumizi bora ya virutubisho na michakato ya kawaida ya detoxification. Pia husaidia mfumo wa lymphatic katika kudumisha mtiririko mzuri wa majimaji na usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, huchangia mzunguko mzuri wa damu kwa usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali, huku iki-support balance ya mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ili kuimarisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya ini, mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na mfumo wa lymphatic, wanaotaka ku-support detoxification ya kawaida ya mwili na kuongeza vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.