Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Daily Wellness Tea ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla kwa ku-support mifumo muhimu inayohusika na vitality na usawaziko wa ndani. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya endelevu hujengwa kwa kudumisha terrain safi, mzunguko mzuri wa maji ya mwili na utendaji wenye uwiano wa mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Urtica dioica
Ocimum tenuiflorum
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla.
• Huchangia usawaziko wa mfumo wa lymphatic na detoxification ya asili.
• Husaidia kuimarisha vitality na nguvu za kila siku.
• Huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho katika mwili.
• Husaidia kudumisha balance ya mfumo wa endocrine na neva.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, Daily Wellness Tea hu-support terrain ya mwili kwa kuchangia mtiririko mzuri wa mfumo wa lymphatic unaosaidia kuondoa taka za kimetaboliki na kudumisha mazingira safi ya seli. Pia huimarisha mzunguko wa damu ili virutubisho na oksijeni vifike kwa ufanisi katika tishu mbalimbali. Michakato ya asili ya detoxification inapoungwa mkono pamoja na usawaziko wa mfumo wa endocrine, mwili hupata mazingira bora ya kujirekebisha. Aidha, hu-support mfumo wa neva ili kuratibu kazi za mwili kwa ufanisi na kuchangia vitality pamoja na afya ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotafuta kuimarisha afya kwa ujumla, kudumisha vitality ya kila siku, ku-support detoxification ya asili na kusaidia usawaziko wa mifumo ya mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.