Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
COLON TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa kusaidia usafishaji wa utumbo na mazingira bora ya njia ya chakula. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, afya ya utumbo huchangia ustawi wa mwili mzima kwa kusaidia uondoaji wa taka na kudumisha uwiano wa mazingira ya ndani ya mwili.
INGREDIENTS
Rumex crispus
Arctium lappa
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya utumbo mpana.
• Huchangia usafishaji wa njia ya chakula kwa njia ya asili.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa utoaji wa taka mwilini.
• Huchangia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Husaidia kuimarisha vitality ya mwili kupitia mazingira bora ya utumbo.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mwili huanza na mazingira safi ya ndani yanayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. COLON TEA husaidia ku-support mfumo wa lymphatic kwa kuchangia uondoaji wa taka zinazoweza kujikusanya mwilini, huku ikisaidia mzunguko mzuri wa damu na maji ya mwili. Pia huchangia michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kudumisha mazingira bora ya ndani. Aidha, hu-support uwiano wa mfumo wa endocrine na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi katika mazingira yenye usawa, hivyo kuchangia ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya utumbo, wanaotaka kusaidia usafishaji wa njia ya chakula kwa njia ya asili, au wanaotafuta kuimarisha ustawi wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.