Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
CLEAVERS TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na kuchangia detoxification ya asili ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri husaidia mwili kudumisha mzunguko bora wa majimaji, vitality na ustawi wa mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Galium aparine
Viola tricolor
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa majimaji mwilini.
• Huchangia kuimarisha vitality na balance ya mwili.
• Husaidia afya ya ngozi kwa kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri huipa miili uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. CLEAVERS TEA hu-support afya ya mfumo wa lymphatic kwa kuchangia mtiririko mzuri wa majimaji na michakato ya kawaida ya detoxification. Pia husaidia mzunguko mzuri wa damu ili virutubisho na oksijeni vifike kwenye tishu mbalimbali kwa ufanisi. Aidha, huchangia balance ya mfumo wa endocrine na hu-support mfumo wa neva katika kuratibu shughuli za mwili. Ushirikiano wa mifumo hii husaidia kudumisha vitality, usafi wa mazingira ya ndani ya mwili na ustawi wa jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic, wanaotaka ku-support detoxification ya kawaida ya mwili, kudumisha afya ya ngozi na kuongeza vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.