AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
CIRCULATION SUPPORT FORMULA ni fomula ya mitishamba iliyoundwa kusaidia afya ya mzunguko wa damu na usafirishaji wa virutubisho katika mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, mtiririko mzuri wa damu ni sehemu muhimu ya kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili na vitality ya kila siku. Fomula hii hu-support utendaji wa kawaida wa mfumo wa mzunguko kwa njia ya asili.
INGREDIENTS
Ginkgo biloba
Ruscus aculeatus
FAIDA
• Husaidia afya ya mzunguko wa damu mwilini
• Huchangia usambazaji bora wa oksijeni na virutubisho kwenye tishu
• Husaidia kuimarisha vitality na stamina ya mwili
• Huchangia afya ya mishipa na mtiririko mzuri wa damu
• Husaidia ku-support uondoaji wa taka za kimetaboliki mwilini
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kudumisha terrain yenye usawa na mtiririko mzuri wa majimaji mwilini. CIRCULATION SUPPORT FORMULA hu-support mzunguko wa damu kwa kusaidia usafirishaji wa oksijeni na virutubisho kwenye seli na tishu mbalimbali. Pia huchangia afya ya mfumo wa lymphatic ambao ni muhimu katika ukusanyaji na uondoaji wa taka za mwili. Mzunguko mzuri huunga mkono michakato ya detoxification, huchangia mawasiliano bora ya mfumo wa endocrine na kusaidia mfumo wa neva kwa kuhakikisha upatikanaji wa virutubisho vinavyohitajika kwa utendaji wa kawaida wa mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mzunguko wa damu, wanaotaka ku-support vitality ya mwili, afya ya mishipa na usambazaji bora wa virutubisho katika mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock