Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
CAYENNE TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha mzunguko wa damu na kuchangia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwa njia ya asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo katika uwiano mzuri huwezesha usambazaji bora wa virutubisho, kusaidia vitality na utendaji wa mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Capsicum annuum
Zanthoxylum americanum
FAIDA
• Husaidia kuimarisha mzunguko mzuri wa damu.
• Huchangia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
• Husaidia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Husaidia kuongeza vitality na balance ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri huwezesha mwili kufanya kazi kwa ufanisi na kudumisha afya ya muda mrefu. CAYENNE TEA hu-support mzunguko mzuri wa damu ili kusaidia usambazaji wa oksijeni na virutubisho kwenye tishu mbalimbali za mwili. Pia huchangia afya ya mfumo wa lymphatic kupitia michakato ya kawaida ya detoxification inayosaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, hu-support afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, huchangia balance ya mfumo wa endocrine na kuimarisha mawasiliano ya mfumo wa neva, jambo linalosaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
Wanaofaa Kutumia
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha mzunguko wa damu, wanaotaka ku-support afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, detoxification ya kawaida ya mwili na kuongeza vitality kwa njia ya asili
TAHADHARI
· Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
· Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Husaidia afya ya mzunguko wa damu na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwa kuchangia detoxification, balance na vitality ya mwili kwa njia ya asili.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.