Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
BURDOCK ROOT TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na kusaidia michakato ya asili ya detoxification ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, huchangia mazingira bora ya mwili kwa kusaidia usafirishaji wa virutubisho na uondoaji wa taka za kimetaboliki ili kuimarisha vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Arctium lappa
Rumex crispus
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Husaidia kuimarisha afya ya ini na mfumo wa uchujaji wa mwili.
• Huchangia mzunguko mzuri wa maji na virutubisho mwilini.
• Husaidia kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kuhakikisha terrain ya mwili inakuwa safi na yenye usawa. BURDOCK ROOT TEA husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kuchangia uondoaji wa taka za kimetaboliki na kusaidia detoxification ya asili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na maji mwilini, jambo linalosaidia usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support afya ya mfumo wa endocrine kwa kudumisha mazingira mazuri ya utendaji wa tezi na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi katika hali ya utulivu na uwiano, hivyo kuimarisha vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA Kutumia
Watu wenye wanaotaka kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic, kusaidia detoxification ya mwili, kuendeleza afya ya ini na kudumisha ustawi wa mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.