Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
VERVAIN TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva na kuchangia utulivu wa mwili wakati wa shughuli za kila siku. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye terrain iliyo katika uwiano mzuri huweza kudumisha vitality, mawasiliano bora ya mifumo ya mwili na ustawi wa jumla.
INGREDIENTS
Verbena hastata
Leonurus cardiaca
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva.
• Huchangia kudumisha utulivu wa mwili na akili.
• Husaidia kuimarisha vitality ya mwili katika shughuli za kila siku.
• Huchangia usawazishaji wa mfumo wa endocrine.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa damu kwa ajili ya ustawi wa mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hutegemea terrain iliyo safi na yenye uwiano ili mifumo ya mwili iweze kufanya kazi kwa ufanisi. BLUE VERVAIN TEA huchangia ku-support afya ya mfumo wa neva na kusaidia mwili kudumisha utulivu wa kawaida. Pia huimarisha mtiririko wa damu kwa ajili ya usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali, huku ikisaidia afya ya mfumo wa lymphatic katika mchakato wa detoxification wa asili. Aidha, huchangia balance ya mfumo wa endocrine na mawasiliano mazuri kati ya mfumo wa neva na viungo mbalimbali ili kuimarisha vitality na ustawi wa mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta kudumisha utulivu wa mwili na akili, pamoja na wanaotaka ku-support balance ya mwili na vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalam
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.