Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
BLOOD PURIFIER TEA ni mchanganyiko wa mimea asilia unaosaidia kudumisha ubora wa mazingira ya ndani ya mwili kwa kuunga mkono michakato ya asili ya usafishaji na mzunguko wa damu. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, mazingira safi ya ndani huchangia lishe bora ya seli, vitality ya mwili na uwiano wa mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Trifolium pratense
Mahonia aquifolium
FAIDA
• Husaidia kudumisha afya ya mzunguko wa damu.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia usambazaji mzuri wa virutubisho katika tishu za mwili.
• Husaidia kudumisha vitality ya mwili kupitia mazingira bora ya ndani.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye mazingira safi ya ndani huwezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi na kudumisha uwiano wa mifumo mbalimbali. BLOOD PURIFIER TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki na kuchangia mzunguko mzuri wa damu unaowezesha usambazaji wa virutubisho na oksijeni katika mwili. Pia husaidia michakato ya asili ya detoxification inayochangia usafi wa mazingira ya ndani. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine pamoja na mfumo wa neva katika kudumisha uwiano wa mwili, hivyo kuchangia vitality na ustawi wa jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mzunguko wa damu, kusaidia michakato ya asili ya detoxification na kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.