Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
ASHWAGANDHA TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva na mfumo wa endocrine kwa kuchangia uwiano wa kawaida wa mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo katika hali nzuri husaidia mwili kudumisha vitality, resilience na utendaji bora wa mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Withania somnifera
Eleutherococcus senticosus
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva.
• Huchangia kudumisha balance ya mfumo wa endocrine.
• Husaidia kuongeza vitality na nguvu za mwili.
• Huchangia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia mwili kuhimili shughuli za kila siku kwa ufanisi.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano ndiyo msingi wa afya bora na ustawi wa mwili. ASHWAGANDHA TEA hu-support mfumo wa neva kwa kusaidia mawasiliano mazuri kati ya ubongo na viungo mbalimbali vya mwili. Pia huchangia balance ya mfumo wa endocrine ili kusaidia uratibu wa michakato ya kawaida ya mwili. Huimarisha mzunguko wa damu kwa ajili ya usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu, huku ikichangia afya ya mfumo wa lymphatic kupitia detoxification ya kawaida. Ushirikiano wa mifumo hii husaidia kuongeza vitality, resilience na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa neva na endocrine, wanaotaka ku-support vitality, balance ya mwili na ustawi wa jumla kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.