AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
TISSUE SUPPORT FORMULAMAELEZO Tissue Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya tishu mbalimbali za mwili kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani (terrain). Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya tishu hutegemea mzunguko mzuri wa virutubisho, uondoaji wa taka za kimetaboliki, na usawa wa mifumo inayounga mkono ujenzi na ustawi wa mwili. INGREDIENTS Centella asiatica Gotu kola var. asiatica FAIDA • Husaidia afya na ustawi wa tishu za mwili • Huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali • Husaidia uimara wa muundo wa mwili kwa ujumla • Huchangia detoxification ya asili inayosaidia afya ya tishu • Husaidia vitality na urejeshwaji wa kawaida wa mwili JINSI INAVYOFANYA KAZI Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya tishu huanza na terrain safi na yenye usawa ambapo seli hupata lishe bora na taka huondolewa kwa ufanisi. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic katika kusafirisha na kuchuja taka za kimetaboliki ambazo zinaweza kuathiri ubora wa tishu. Pia huchangia circulation bora ya damu ili kusaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye maeneo mbalimbali ya mwili. Kwa kuongeza, hu-support michakato ya asili ya detoxification na kusaidia usawa wa endocrine unaohusiana na ukuaji na ustawi wa tishu. Mfumo wa neva pia huungwa mkono ili kusaidia mawasiliano mazuri ya mwili na kudumisha vitality ya jumla. NAMNA YA KUTUMIA Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu. WANAOFAA KUTUMIA Watu wenye hitaji la kuimarisha afya ya tishu za mwili, wanaotaka ku-support vitality ya mwili, au wanaotafuta kusaidia ustawi wa mifumo inayohusika na ujenzi na matunzo ya tishu. TAHADHARI Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa. Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
50 in stock
TSh 75,000
View product