AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
ANTI-INFLAMMATORY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
JOINT SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya na ustawi wa viungo vya mwili kwa kuimarisha flexibility, mobility na balance ya mifumo ya ndani ya mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya viungo hutegemea terrain safi, mtiririko mzuri wa vimiminika na usawa wa mifumo ya mwili.
INGREDIENTS
Harpagophytum procumbens
Salix alba
FAIDA
• Husaidia afya na ustawi wa viungo vya mwili kwa ujumla.
• Huchangia flexibility na mobility ya mwili.
• Husaidia kuimarisha balance ya mwili baada ya shughuli za kila siku.
• Huchangia mtiririko mzuri wa vimiminika vya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya viungo vya mwili inategemea terrain iliyo safi na yenye mtiririko mzuri wa vimiminika. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya damu na virutubisho muhimu vinavyosaidia utendaji wa viungo. Kwa kuimarisha endocrine system, huchangia balance ya mwili, huku nervous system ikisaidiwa kudumisha coordination na ustawi wa mwili. Hii huleta mwili wenye flexibility, mobility na vitality bora.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya viungo, kuboresha flexibility na mobility ya mwili, au wanaotaka ku-support ustawi wa mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
ANTI-INFLAMMATORY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
MUSCLE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
TISSUE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
SKELETAL SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock