AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
ANTI-INFLAMMATORY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
MUSCLE SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya na ustawi wa misuli kwa kuimarisha mazingira ya ndani ya mwili yanayohusiana na nguvu na recovery ya tishu. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, mwili wenye terrain yenye balance nzuri huweza kudumisha nguvu, flexibility na ustawi wa mifumo ya mwili kwa ufanisi zaidi.
INGREDIENTS
Withania somnifera
Prunus serotina
FAIDA
• Husaidia afya na ustawi wa misuli kwa ujumla.
• Huchangia nguvu na vitality ya mwili wa kila siku.
• Husaidia kuimarisha recovery ya asili ya mwili baada ya shughuli.
• Huchangia ustawi wa nervous system.
• Husaidia mwili kudumisha balance ya kimwili na kiutendaji.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya misuli inategemea sana terrain safi na mtiririko mzuri wa vimiminika vya mwili. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu za mwili na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya damu na virutubisho muhimu vinavyohitajika kwa ustawi wa misuli. Kwa kuimarisha endocrine system, huchangia balance ya nguvu za mwili, huku pia hu-support nervous system ili kusaidia coordination, relaxation na recovery ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha nguvu na ustawi wa misuli, wanaotaka ku-support recovery ya mwili baada ya shughuli, au wanaotafuta kudumisha vitality na balance ya kimwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
ANTI-INFLAMMATORY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
JOINT SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
TISSUE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
SKELETAL SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock