AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
ANTI-INFLAMMATORY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Tissue Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya tishu mbalimbali za mwili kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani (terrain). Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya tishu hutegemea mzunguko mzuri wa virutubisho, uondoaji wa taka za kimetaboliki, na usawa wa mifumo inayounga mkono ujenzi na ustawi wa mwili.
INGREDIENTS
Centella asiatica
Gotu kola var. asiatica
FAIDA
• Husaidia afya na ustawi wa tishu za mwili
• Huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali
• Husaidia uimara wa muundo wa mwili kwa ujumla
• Huchangia detoxification ya asili inayosaidia afya ya tishu
• Husaidia vitality na urejeshwaji wa kawaida wa mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya tishu huanza na terrain safi na yenye usawa ambapo seli hupata lishe bora na taka huondolewa kwa ufanisi. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic katika kusafirisha na kuchuja taka za kimetaboliki ambazo zinaweza kuathiri ubora wa tishu. Pia huchangia circulation bora ya damu ili kusaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye maeneo mbalimbali ya mwili. Kwa kuongeza, hu-support michakato ya asili ya detoxification na kusaidia usawa wa endocrine unaohusiana na ukuaji na ustawi wa tishu. Mfumo wa neva pia huungwa mkono ili kusaidia mawasiliano mazuri ya mwili na kudumisha vitality ya jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hitaji la kuimarisha afya ya tishu za mwili, wanaotaka ku-support vitality ya mwili, au wanaotafuta kusaidia ustawi wa mifumo inayohusika na ujenzi na matunzo ya tishu.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
ANTI-INFLAMMATORY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
JOINT SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
MUSCLE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MIFUPA, MISULI NA VIUNGO (BONES, MUSCLES & JOINTS)
SKELETAL SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock