AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Thyroid Support Tincture ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya tezi ya thyroid na kusaidia uwiano wa mifumo mbalimbali ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, afya bora ya tezi hutegemea mazingira safi ya ndani ya mwili, mzunguko mzuri wa virutubisho, na ufanisi wa mifumo ya uondoaji taka za mwili.
INGREDIENTS
Withania somnifera Tincture
Coleus forskohlii Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya tezi ya thyroid na utendaji wake wa kawaida
• Huchangia uwiano wa nishati na vitality ya mwili
• Husaidia mzunguko mzuri wa virutubisho kwenye tishu za mwili
• Huchangia afya ya mfumo wa endocrine kwa ujumla
• Husaidia mwili kudumisha metabolism yenye uwiano mzuri
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya thyroid huathiriwa na ubora wa terrain ya mwili na uwezo wa mifumo mbalimbali kufanya kazi kwa uwiano. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki, huku ikichangia mzunguko mzuri wa damu na usambazaji wa virutubisho. Pia hu-support michakato ya detoxification inayosaidia mazingira bora ya seli. Kwa kuimarisha ushirikiano kati ya mfumo wa endocrine na mfumo wa neva, formula hii huchangia mawasiliano bora ya mwili na kusaidia kudumisha energy, balance na vitality ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya tezi ya thyroid, wanaotaka kusaidia balance ya mfumo wa endocrine, au wanaotafuta support ya asili kwa ajili ya vitality, metabolism na ustawi wa mwili kwa ujumla wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock