AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Blood Sugar Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo unaohusika na matumizi ya nishati mwilini na uwiano wa kimetaboliki. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili unapokuwa na terrain iliyo safi na yenye uwiano, mifumo ya endocrine, mzunguko wa damu, na matumizi ya virutubisho huweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
INGREDIENTS
Gymnema sylvestre
Syzygium cumini
FAIDA
• Husaidia afya ya uwiano wa matumizi ya sukari mwilini.
• Huchangia afya ya mfumo wa endocrine unaohusika na kimetaboliki.
• Husaidia mwili kutumia virutubisho kwa ufanisi zaidi.
• Huchangia vitality na uzalishaji wa nishati mwilini.
• Husaidia kudumisha ustawi wa jumla wa kimetaboliki.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hujengwa kwa kuhakikisha terrain ya mwili ipo katika hali safi na yenye uwiano. Blood Sugar Formula hu-support mfumo wa lymphatic katika kuondoa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri mawasiliano ya kawaida ya mifumo ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usafirishaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, afya ya mfumo wa endocrine, na uwiano wa mfumo wa neva, fomula hii huchangia matumizi bora ya nishati, vitality, na ustawi wa jumla wa mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2-4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya kimetaboliki, wanaotafuta kusaidia uwiano wa mfumo wa endocrine, wanaotaka ku-support matumizi bora ya nishati mwilini, au wanaotafuta kuboresha ustawi wa jumla kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock