AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Thyroid Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya tezi ya thyroid na kusaidia uwiano wa mfumo wa endocrine kwa ujumla. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, utendaji bora wa thyroid hutegemea mazingira safi ya ndani ya mwili, mzunguko mzuri wa virutubisho, na usawaziko wa mifumo inayounga mkono vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Withania somnifera
Eleutherococcus senticosus
FAIDA
• Husaidia afya ya tezi ya thyroid na utendaji wake wa kawaida
• Huchangia uwiano wa mfumo wa endocrine
• Husaidia kudumisha viwango bora vya nishati mwilini
• Huchangia metabolism yenye uwiano mzuri
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya thyroid huimarika pale terrain ya mwili inapokuwa katika hali nzuri ya usawaziko. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia uondoaji wa taka za mwili na kuchangia mazingira bora ya seli. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu unaosaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali. Kwa kusaidia michakato ya detoxification na kuimarisha mawasiliano kati ya mfumo wa endocrine na mfumo wa neva, formula hii huchangia uwiano wa ndani wa mwili na kusaidia vitality, energy na ustawi wa kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya thyroid, wanaotaka kuimarisha uwiano wa mfumo wa endocrine, au wanaotafuta support ya asili kwa ajili ya energy, vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock