AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
PITUITARY SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya tezi ya pituitary na uwiano wa mfumo wa endocrine. Kwa mujibu wa falsafa ya Terrain ya Dr. Mittoh, afya ya tezi muhimu za mwili huchangia mawasiliano bora ya mifumo mbalimbali na kusaidia vitality ya mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Centella asiatica Tincture
Eleutherococcus senticosus Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya tezi ya pituitary na mfumo wa endocrine
• Huchangia uwiano wa mawasiliano kati ya glands mbalimbali za mwili
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
• Huchangia afya ya mfumo wa neva na utendaji wake wa kawaida
• Husaidia kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili (terrain balance)
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye afya hujengwa kwa kuhakikisha mifumo ya mwili inafanya kazi kwa uwiano mzuri. Formula hii husaidia ku-support afya ya tezi ya pituitary ambayo ni sehemu muhimu katika mawasiliano ya mfumo wa endocrine. Pia hu-support mfumo wa neva ili kusaidia uratibu wa ishara mbalimbali za mwili. Mzunguko mzuri wa damu na lymph huchangia usafirishaji wa virutubisho muhimu kwenye tishu na glands huku ikisaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification na uwiano wa endocrine, formula hii huchangia vitality, balance na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mfumo wa endocrine, wanaotaka kuimarisha vitality ya mwili, au wanaotafuta support ya asili kwa uwiano wa mawasiliano kati ya mfumo wa neva na glands mbalimbali wanaweza kutumia formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
THYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock