AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Parathyroid Support Tincture ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya tezi za parathyroid na kusaidia uwiano wa mfumo wa endocrine. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, utendaji bora wa tezi hizi hutegemea mazingira safi ya ndani ya mwili, mzunguko mzuri wa virutubisho, na usawaziko wa mifumo inayosaidia afya ya tishu na vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Equisetum arvense Tincture
Avena sativa Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya tezi za parathyroid na utendaji wake wa kawaida
• Huchangia uwiano wa mfumo wa endocrine
• Husaidia matumizi bora ya madini muhimu mwilini
• Huchangia afya ya mifupa na tishu zinazounga mwili
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya tezi za parathyroid huathiriwa na ubora wa terrain ya mwili na usawaziko wa mifumo inayosaidiana. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia uondoaji wa taka zinazoweza kuathiri mazingira ya seli. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu unaosaidia usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali za mwili. Kwa kusaidia michakato ya detoxification na kuimarisha mawasiliano kati ya mfumo wa endocrine na mfumo wa neva, formula hii huchangia mazingira bora ya ndani ya mwili yanayosaidia balance, vitality na ustawi wa muda mrefu.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya tezi za parathyroid, wanaotaka kuimarisha uwiano wa mfumo wa endocrine, au wanaotafuta support ya asili kwa ajili ya afya ya mifupa, vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
THYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock