AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
ADRENAL SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya adrenal glands na uwezo wa mwili kukabiliana na changamoto za kila siku. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya adrenal ni muhimu katika kudumisha energy, resilience ya mwili, na balance ya mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Withania somnifera Tincture
Eleutherococcus senticosus Tincture
FAIDA
• Husaidia kuimarisha stamina na vitality ya mwili
• Huchangia balance ya mfumo wa endocrine
• Husaidia mwili kukabiliana na changamoto za kila siku
• Huchangia afya ya mfumo wa neva na utulivu wa mwili
• Husaidia kudumisha kiwango kizuri cha nguvu mwilini
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa terrain safi na mifumo inayofanya kazi kwa usawa. ADRENAL SUPPORT TINCTURE husaidia ku-support adrenal glands kama sehemu ya mfumo wa endocrine unaoratibu mwitikio wa mwili kwa mahitaji ya kila siku. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na virutubisho, hu-support mfumo wa neva katika kudumisha utulivu wa mwili, na kusaidia michakato ya asili ya detoxification. Kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani ya mwili, formula hii huchangia vitality, resilience na uwezo wa mwili kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye uchovu wa mara kwa mara, wanaohitaji kuimarisha stamina ya mwili, wanaopitia shughuli nyingi za kila siku, au wanaotaka ku-support afya ya mfumo wa endocrine na vitality kwa ujumla wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa au wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PITUITARY SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA HOMONI NA TEZI ZA MWILI (HORMONAL & ENDOCRINE HEALTH)
PARATHYROID SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock